Job 7:8-10

8 aLile jicho linaloniona sasa halitaniona tena;
utanitafuta, wala sitakuwepo.
9 bKama vile wingu liondokavyo na kutoweka,
vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini
Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.
harudi tena.
10 dKamwe harudi tena nyumbani mwake;
wala mahali pake hapatamjua tena.
Copyright information for SwhNEN